Witnesz The Fitnes With Uncle Ralph
Huyu jamaa hapa anaitwa Ralph macDaniels a.k.a Uncle Ralph
huyu jamaa ni pioneer wa utamaduni wa hip hop entrepreneur na pia ndo mwenye
maono yaliyotengeneza video music box, the first video show ever iliyo focus
arbun market na kurushwa kwenye runinga ya adhara na pia anajulikana kama the
original test maker of the streets, McDaniels alikuja kujulikana rasmi kama uncle
Ralph mwaka 1995 ambapo mtanangazaji kool Dj Red Alert alipokuwa akimwita hivyo
kwenye vipindi vyake vya redio.
Pia mcdaniels ni Raisi wa Uncle Ralph Productions an on air
radio personality ndani ya new York WQHT na pia ni mmoja wa waandaaji wa The
bridge pia ni host na ni mmiliki wa Onfumes.com
Uncle Ralph’s influence in hip hop culture stems from the
outstanding success of his 20 year hip hop show and spans over 25 years through
millions of viewers, fans and consumers who have supported him through his
movement in radio, television and the fashion industry,
Uncle Ralph ni Host pia
kwenye Brooklyn Hip Hop Festival ambayo imetimiza miaka nane toka ianze na
mwaka huu tumeikosa kidogo wakati tupo kwenye miji mingine ilikuwa ikifanyika mjini
New York ambapo mwaka huu wasaanii wakuu waliokuwa wakitumbuiza ni my boy
Buster Rhymes pamoja na Flip Mode Squad ambao pia ni marafiki wa karibu sana wa
Uncle Ralph ambaye ni rafiki yangu pia.
1.Nas-Hard to tell
2.Public enemy-Brothers gonna work but
3.black moon-who got the pops
4.Wu-TANG CLAIN-Ice cream
5.BBD-Poison
Bila kusahau pia ni Associate Producer kwenye movie ya
hayati Tupac omar shakur iitwayo Juice movie ikiisha tu jina lake la kwanza
kuscroll
Mwaweza tazama music box videos online
0 comments:
Post a Comment