Dizaini huyu jamaa nipo nae anaitwa Spice-1 alikuwa mshkaji
wake wa karibu sana hayati Tupac shakur rest in peace ambaye walitoa nyimbo
kadhaa pamoja na jelous got me strapped kwenye album yake iliyoitwa Amerikkkas
nightmare ambapo iliingia sokoni mwaka 1994 ulikuwa ni wimbo uliofanya vizuri
kwenye album ya Spice-1 ambaye nilikutana nae kwenye Tuzo za Hip Hop mjini Los
Angeles zikijulikana kama West Coast Hip Hop Awards 2012,
After the first picture been taken with smile witnesz and spice-1 decided to do a picture with attitude here is the outcome.
Witnesz The fitnes on the left and Spice-1 onthe right@ West Coast Hip Hop awards 2012
0 comments:
Post a Comment