Monday, 29 July 2013

Hoi Music Video; From wakilisha the Tanzania's coca cola Popstars


HOI by wakilisha

Huwa roho inaniuma sana kila nikiangalia this video lakini siyo kesi ninaichukulia kama one of my trophies ambazo zipo sebuleni kwangu,kundi linaweza sambaratishwa ila kipaji hakiwezi toka ndani yangu,kwa kuwa ni alama ya kuzaliwa kwangu,my recognition and a task i have been given by the man himself from the heavens to entertain people and make them happy nikiwa happy pia, do thethings you love dont do things you dont have.

0 comments:

Post a Comment