Monday, 27 August 2012
Dj Nick Speed with Witnesz
By
Unknown
•
Monday, 27 August 2012
•
0 Comments
Witnesz The Fitnesz na Dj Nick Speed
Ndani ya Detroit -Michigan Witnesz the Fitnesz akiwa na Dj Nick Speed yeye ni Producer amekwisha tengeneza nyimbo na 50 Cents,Tupac Shakur,Rloyd Banks,M.O.P,Talib kweli,Phat Kat and Music Soulchild pia amesign na money management group ambayo ni subsidiary ya G-Unit records.
Hapa wakiwa kwenye open mic tuesday nite kwa ajiri ya kuhamasisha female mc's wakaze buti,pia eneo ambalo idea ya movie ya 8mile ilipotokea kwa kuwa yasemekana Eminem alikuwa rafiki yake wa karibu na mmoja wa ma Dj hao aitwaye Dj Sicarry akitokea nje kidogo ya mji wa detroit na kuja kukamata kipaza kwenye that pub iitwayo@Old Miami
0 comments:
Post a Comment