Think about it ni music video ambayo imeimbwa na wasanii wawili Witnesz a.k.a Kibonge Mwepec na hili jina ongezeko limetokana na ufanisi wa jukwaani wa kujimudu kwa upande wa perfomance kutokana na kujituma kwake kipindi cha burudani hizo kitendo kinachawashangaza mno mashabiki zake kwa kutoamini wakionacho kulingana na weight aliyonayo ukilinganisha na watu wengine wenye same weight kutoweza fanya vitu hata robo avifanyavyo witnesz ama kibonge mwepec huyo, kwani yeye huwa haamini mwili kuwa ni mzito huwa anaamini akili ya mtu inaweza kmsababishia mtu ashindwe kuubeba mwili wake kutokana na anavyo fikiri kwani kuna watu wembamba pia ni wazito na hawaezi kuufkia moto wake wa jukwaa hata kwenye mazingira ya kawaida ya kinyumbani kama mwanamke, mbali na hapo huu wimbo amefanya na ochu sheggy da digital bushman ambapo ukisikiliza kwa makini wimbo wenyewe mashairi yake yana stori ya kweli asilimia 80 ya maisha yao halisi wimbo unaitwa think about it audio yake imetengenezwa na Lucci mwaka 2008 ambaye alitengeneza instrumental ya wimbo huo na kumaliziwa kwa ushirikiano wa upcomming producer zidadi mwamba na the music video was done by Badifilmz wa Uganda ikiwa na muongozaji Elbashir ambao walikuja nchi Tanzania hususani kwa ajiri ya kushuti hii music video ambayo main idea ilikua ni ya witnesz na ochu sheggy pia Badifilmz waliongezea mawzo ya jinsi video ifanyike ili kufikia lengo la kuwa a classy sexy video, na shukrani nyingi zimuendee mchora tatoo ambaye ni ochu shegggy kwa kuwa mbali na muziki yeye ni illustrator na hiyo tatoo hapo mgongoni ni temporary na ilifutika siku nyingi sana coz wengine hudhani anayo na ni permanent hapana na huyo mdudu hapo siyo kenge,mamba wala kinyonga ni mjusi na aliamua kuchora picha ya mjusi ni kutokana na maisha ya mjusi yalivyo anasurvive popote pale iwe ardhini,darini,ukutani iwe ni kwa kwenda mbele juu chini,chini juu na pia most of all hata ukimkata mkia huwa anaendelea na movements coz anajua its amater of time mkia utaota tena, have fun and enjoy the music video
duh big up kwa Ochu, kwenye Tatuu hapo. sikua najua kama jamaa anayaweza mambo hayo pia. Respect kwake.
ReplyDelete