Monday, 11 August 2014

 

OTCHUNES 20 kufanyika tena tarehe 20/08/2014

 
             Tsup ma pipo nia yetu ni kukusaidia wewe na kukuinua kama ilivyo kutoa ni moyo si utajiri, tunaangalia other talents to support bila sponsors toka kwa mtu wala kampuni yeyote ile, ila tunaamini kwa pamoja tunaweza, so kutokana na maombi ya wengi kuhusu hali ya kiuchumi ya wanaotaka kushiriki nasi kwenye shindano la otchunes 20 "vipaji tunavyo shida uchumi mdogo"  tukaamua kubadili baadhi ya taratibu na kwa kutotaka poteza vipaji tumeamua ya kwamba mashindano haya from now on yanayo jumuisha vipaji vya muziki wanaoshindania kurekodi audio ya bure,Video king na queen, ama kama wewe ni dancer na unataka kuwa una dance kwa kulipwa kwenye music videos  kwa kulipwa na hatuchukui makundi bali mtu mmoja mmoja, pamoja na beat box maniacs ama wapiga ala kwa mdomo, wote fomu zitakuwa zinapatika kwa 5,000 tu badala ya elfu 20,000. mashindano yamekwisha fanyika mara tatu na yajayo yatafanyika tarehe 20/8/2014, kijitonyama,mtaa wa akachube katika ukumbi wa hoteli iitwayo KD kuanzia mbili kamili asubuhi kwa maelezo zaid piga 0717757582, One love!!

If you want to help or support this movement call 0753 320 009


0 comments:

Post a Comment