Tuesday, 19 November 2013

Think About it Coming soon

WITNESZ AND OCHU SHEGGY Think about it (video teaser)
      Video ya wimbo huu itakamilika ndani ya wiki mbili itakuwa tayari, it's a next level video iliyofanyika nchini Tanzania na kushutiwa na Lbashir badi Films Toka Uganda with a next level audio amabayo beat imetengenezwa na Lucci na kurekodiwa Epensive Music kwa zidady mwamba.
        Been done na Watanzania halisi na si wa kuchovya witnesz na Ochu Sheggy na ukihitaji kuweka Think about it kama muito wa kupigiwa tafadhari tuma msg yenye namba 27100 kwenda namba 15007 code hii ni kwa wateja wa tiGo much love to all of our fans msiache kujisbscribe youtube kwenye chanel witnesz tz@youtube.com pamoja na ochu sheggy@youtube.com

   Video Coming soooooon!

0 comments:

Post a Comment