Tuesday, 25 September 2012

ZINC



    

                    HOW TO GET ZINC MINERALS/HOW MUCH YOU LOOSE WHEN!

                           Ninataka kuzungumzia Madini ya zinc mwilini na yana patikana katika vyakula vya aina gani na yanaweza kuwa destroyed, madini ya zinc yanapatikana haswa kwenye,cereals,nyama aina ya offals,kaa,pweza,ngisi,maharagwe,yeast,uyoga,mbegu za maboga alizeti,karanga, korosho haswa Brazilian nuts.

            Madini yana saidia sana kutibu vidonda naturally ndo maana watu wenye madini ya zinc mengi mwilini huwa wanapona haraka kuliko wengine wnye madini hayo pungufu, kwa kuwa miili yetu iliumbwa kujiponya yenyewe,ni pale tu iwapo ukaupatia mwilishi vyakula vyenye lishe bora vyenye vitamins na minerals za kutosha,

           Pia husaidia kwenye mental alertness ama wabongo husema mwezi umeanda ama kichaa cha mwezi mchanga cha kuja na kuondoka, husaidia ngozi kuwa mololo nzuri hata kuzuia kutokeza kwa vichunusi kwa kuwa inafuction vizuri  bila kusahau msaada wake kwenye meno na husaidia pia watu wenye matatizo ya manii kama ni ndogo ( low sperm Count) na kushindwa kuzalisha mbegu za kutosha, huongeza uwezo na hamu ya kuchuja nafaka ( tendo la ndoa) kwa wanaume na wanawake na kuongeza ufanisi wa afya ya viungo vya uzazi.

                   Endapo madini haya yakiongezwa na vitamins za nyingine yanaweza kutumika kwa kuondolea sumu mwilini na  kusaidia mfumo wa chakula kufunction vizuri na kukupatia afya bora ukizingatia niliyokuambia.

                  Kwa hiyo fikiria kaka kila unapo chuja nafaka na kumwaga jua ya kuwa unamwaga 5mg za zinc na ukichuja bao tatu yamaanisha umepoteza zinc kiasi gani? hebu tujiulize kila siku unakamua ngapi? na je unakula hivi vitu kweli? ama ndo unaviskia bombani?

                         Mwenzenu cassanova alikuwa akila pweza angalau vikamba vyake hamsini kila asubuhi ili kumpatia nguvu na uwezo zaidi wa kuchuja nafaka wewe je?
 kama huwezi kwa mtindo huo nipigie nikupe solution 0753 320 009 hata kama umembiwa huwezi kumpatia mwanamke ujauzito kwa kukosa manii ya kutosha ama mbegu zanya afya pamoja tunaweza
                                               much love!

1 comment:

  1. Ushauri mzuri kilichobaki tuzingatie kula hivi tulivyoshauriwa ili tuwe imara

    ReplyDelete