Monday, 17 September 2012

Jua Juu Ya Vichunusi ama Acne

                                                  Jua Juu ya Vichunusi ama Acne


                Chunusi ni mkusaanyiko wa mafuta ama usaa unaokaa kwenye uso,kifua,Shingo,mgongo na wakati mwingine hadi mabegani, mkusanyiko huo huwa unatokea kwenye ngozi zilizokufa ama dead skin zisizoweza kufunction vizuri kwa kuwa vinyweleo vya ngozi vinakuwa vimezibwa hivyo kusababisha ngozi kushindwa kupumua na kuotesha vinundu nundu kwa juu ya ngozi vilivyo jaa uchafu uliopaswa toka nje kwa kutumia jasho hewa, ama pindi unapo isafisha kupitia matundu haya ikiwa kinyume na hapo ndipo bacteria wanaotengeneza chemicals wanatengeneza enzyme ambayo inaweza ikatengeneza vidonda, muwasho,fukuto na harara siyo kwamba ni ugonjwa unao haribu afya ya mwili sana ispokuwa huwa inapunguza kujiamini pamoja na kutojiskia vizuri kwa wanawake na wanaume wenye tatizo hili huwa pia wanatabia za kushika shika nyuso zao kwa kudhani ya kuwa wanaweza kumaliza tatizo hilo kwa kukamua lakini huwa wanazidisha hali hiyo kuwa mbaya kwa kuwa mara nyingi pia mikono huwa na backteri mbali mbali wanaochangia kupelekea hali hiyo kuwa mbay na backteria hawa hupatika kwenye kutonawa mikono baada ya kujisaidia ama kula vyakula bila kunawa unashika uso ama kwa kusalimiana na watu n.k na endapo halijashughulikiwa mapema kwa wengine huweza kubwa na kuwaweka katika hali mbaya ya kuuharibu uso kwa mabaka na vijishimo vya uso na kuonekana ni binadamu wa kutisha moja kwa moja.

           Visababishi vya chunusi ni kadhaa na si kimoja navyo ni

§  Hormon zikizidi sana ndo maana asilimia kubwa huwakuta wanaume wanapo balehe ama mabinti Wanapokuwa wanakaribia kuingia katika siku zao au kuvunja ungo vipindi hivi mara nyingi huwa hormones zinapanda

§  Heredetery or genetic genes
§  Lishe duni na ninaposema lishe duni simaanishi huli ukashiba bali nina maanisha hauli a balanced diet ambayo ina virutubisho vyote vyenye madini na vitamins mbali mbali zihitajikazo mwilini.

§  Wakati mwingine husababishwa na matumizi ya madawa tunayokunywa haswa kwa wale wanaolazimika kutumia madawa kila siku kutokana na ugonjwa Fulani ili kuustabilize

§  Pia kwa wale wanaotumia vipodozi ambavyo si sahhi vyenye mwadawa mengi ama zaidi yale yenye kemikali sythenic kama ukisoma maelekezo waweza ona hili kwenye chupa ama box pia matumizi ya mafuta ya mboga za majani husababisha.

§  Bila kusahau stress ama msongo wa mawazo kupitiliza na zaidi kwa wale watu wenye kuhuzunika kupitiliza,kujilaumu na kuwa na wasi wasi kwa muda mrefu kifupi prolonged emotional tension

                     So kama una this type of problem you may consider it not a problem anymore fuata maelekezo na epukana na visababishi vya chunusi so that you can feel good about yourself kuwa unapendelea natural staff kunywa maji mengi kula vizuri na tumia vipodozi sahihi kwa ajiri ya matunzo ya ngozi yako ikiwemo sabuni na kama unaona hali ni mbaya sana piga simu kwa ajiri ya matibabu 0753 320 009
                 Pia muhimu sana kutumia products zako ziwe ni za brand moja siyo shampoo unatumia ya yai,mafuta ya mwili Vaseline,hair conditioner olive oil,hair spray avocado body spray sijui kitu gani sabuni ya kuogea sielewi pamoja na makeup remover N.K so be carefull with what you use and how you use.

                                                                    Much love!!!!

0 comments:

Post a Comment