Thursday, 2 August 2012

Washington Dc


On a tour wakati wa kutembelea mji wa Washington Dc pamoja na maeneo mbali mbali ya makumbusho ikiwemo white house ,sanamu la Martin Luther king senior mzee wa i have a dream  pamoja na wanamapinduzi wengine na maraisi wa marekani pamoja na majengo yanayo ashiria muungano wa hizo states zao hamsini,

0 comments:

Post a Comment