Friday, 21 October 2011

Weka Kama Miito yako ya simu Nyimbo Za Witnesz

Tsup mapipo!

kama mnapenda wimbo mmoja kati ya hizi mwaweza zidowload na kuwa ringtones ama ringbacktone
kwenye imu zenu na hizi nyimbo ambazo zimeorodheshwa ni ambazo zipo kwenye album ya project yangu ya norway ambayo haijawahi uzwa nchini tanzania
zaidi ya nchi zascandnavia na kwa kupitia mtandao wa internet yaani itunes kwa kuwapatia fursa mashabiki wangu mwaweza ikiliza nyimbo hizi pembeni ya kurasa huuna e
ndapo utapenda kudownload wimbo huo kwenye simu yako waweza fanya hivyo kwa kutuma code ya wimbo halafu kwenda namba 15578 mfano kama unapenda
wimbo kichekessho waweza tuma msg code 8981 kwenda 15578 na hapo utapatiwa uhakiki wa kupokea wimbo huu na waweza kujaribu kwa kutumia simu nyingine kujipigia ili ahakikihe wimbo huo upo kwenye simu yako kama nio mlio wa kupigiwa simu


HIZI NI CODES ZA KHAYA KHAYA ALBUM NA JINSI YA KUDOWNLOAD WIMBO UUPENDAO

Kama umependa wimbo uinipige chini
1. Tuma DEF 8996 to 15578

Kama umependawimbo it doe'snt it doesnt matter tuma
2. Tuma DEF 8977 to 15578

Kama umependa wimbo khaya khaya
3.Tuma DEF 8980 to 15578

Kama umependa wimbo kichekesho
4. Tuma DEF 8981 to 15578

Kama umependa wimbo ndizi
5. Tuma DEF 8984 to 15578

Kama umependa wimbo ni wewe
6. Tuma DEF 8985 to 15578

Kamaumependa wimbo salva na witness
7. Tuma DEF 8991 to 15578

Kama umependa wimbo tuparana
8. Tuma DEF 8993 to 15578

Kama umependa wimbo umwe
9. Tuma DEF 8994 to 15578

Kama unapenda wimbo je m'appelle witness
10.Tuma DEF 8979 to 15578

Huduma hii ni kwa wateja wa airtel tu kwa sasa na ili kupata habari zaidi pamoja na updates za mitandao mingine itakapo
kuwa tayari kwa huduma hii ya kudownload nyimbo kwa njia ya simu na mengineyo tafadhari jiunge kwenye FUN club ya WITNESZ kupitia simu yako ya mkononi
kwa kutuma WITNESZ kwenda 15522/txt WITNESZ to 15522 mbali na kupatiwa updates za jinsi ya kudownload nyimbo pia utapata habari na taarifa mbali mbali kuhusu witnesz,interview za radio tv appearances,stage perfomances venues,viingilio wapi kwa kununa albums fan clb suprises etc.

0 comments:

Post a Comment